Numbers 33:32-34

32 aWakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.
33 bWakaondoka Hor-Hagidgadi na kupiga kambi huko Yotbatha.
34Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona.
Copyright information for SwhKC